Karibu Kilimanjaro, Karibu Tanzania, Karibu katika blog hii ya Kill Tour uweze kupata nafasi ya kujua mabo mengi yanayohusiana na Utalii katika Tanzania hususani maeneo yenye vivutio vya kitalii, kampuni za utalii, hoteli za kitalii pamoja na gharama zote zihusuzo utalii.
Mkoa wa Kilimanjaro ni moja kati ya mikoa Tanzania. Wenyeji wa mji huu ni wachaga na wapare. Wachaga wanotoka katika wilaya za Moshi Mjini, Moshi vijijini Rombo, Hai na Vunjo. Wakati Wapare wakitokea wilya za Same na Mwanga.

Subscribe to:
Posts (Atom)